Ujinga Ni …………

14 Oct

Now this vibe has been around for more than a month now, though personally am late adopting it, I am not going to miss out on the fun. Anyway better late than never.

Ujinga ni ….
kufungia mshuto kwa choo
kufungua duka ya tatoo southern sudan
kumanga dame ameiva na condom
kuficha kitu hadi we mwenyewe haupati
ku wave goodbye ukisha bonga na msee kwa phone
kutafuta kazi kwa radio station ya kuosha vyombo vya habari
kulala njaa na uko na adams aple
kukataa kuosha kifua …ati uko na roho safi
kusugua meno usiku ndio usichelewe job asubuhi
kutafuta lip gloss ya nyamachoma flavour….
ku shout kwa redio ili kusend shoutouts
kuinama ukiwa ndani ya gari ukipita chini ya flyover
kuita mtoi wako tov ndio uitwe barbatov
kujaribu kufukuza nzi kwa monitor na mouse
Kubrush viatu na unapigwa picha ya pasport
kushoutia attendant wa petrol station aweke full tank ya mia mbili.
waluhya kudhania jogoo road ni yao
kufikiria Transformers ni documentary ya KPLC
mkikuyu kuambia conda anachukia stage next alafu conda anamshow asijali ataipenda tu.
Kidum kuimba ‘nilimanga manga kila mahali’ na ‘nikipanua napanua mwenye” kwa ngoma ya wimbo ya gospel.

More here. and here

Advertisements

4 Responses to “Ujinga Ni …………”

 1. john October 15, 2012 at 1:52 pm #

  kahlua cocktails; you have lied to the author of this post completely

  • Bizstler December 14, 2012 at 2:53 pm #

   I do agree too that he lied. But John what do you think.

 2. Bizstler Mkenya November 1, 2011 at 5:03 pm #

  Ujinga ni watchi kuisearch bahasha ya 5bob akitafuta granade.

 3. kahlua cocktails October 30, 2011 at 11:38 am #

  Thank you for making the honest attempt to discuss this. I feel very strong about it and would like to learn much more. If it is OK, as you gain extra in depth information, may well you mind adding more articles extremely similar to this 1 with more info? It would be extraordinarily useful and useful for me and my pals.

Kindly leave your comment.

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s